Hali ya uwanja wa Sokoine Mbeya imeonekana kutokuwa nzuri katika eneo la kuchezea hasa mara baada ya usiku wa kuamkia leo kufanyika tamasha kubwa la msanii wa Bongo Fleva Rayvanny akiwa na diamond Platnumz katika uwanja huo. Hali hiyo mbaya ya uwanja huo imepelekea Bodi ya Ligi kuahirisha mchezo wa Prisons na Yanga ambao ulitakiwa kuchezwa Ijumaa ya kesho na utapangiwa tarehe nyingine.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD

Comments
Post a Comment